Wafanyikazi wa shirika la posta mjini Eldoret waanza mgomo wakilalamikia kutolipwa kwa miezi tano

  • | Citizen TV
    636 views

    Wafanyikazi wa shirika la posta nchini hii leo wameanza mgomo wao wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao kwa miezi 5. John Wanyama anafuatilia tukio hilo na sasa unaungana naye moja kwa moja kutoka eldoret, kaunti ya uasin gishu.