Skip to main content
Skip to main content

Wafuasi wa Chama Cha Chungwa ODM wataka chama kiimarike

  • | Citizen TV
    1,341 views
    Duration: 3:20
    Chama Cha ODM tawi la Samburu kimetoa wito kwa viongozi waliosalia chamani kuhakikisha chama hicho kinasalia imara na kutosambaratika ili kulinda na kuendeleza maono aliyokuwa nayo Hayati Raila Odinga. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.