Wafugaji katika eneo la Merti wanatarajia kunufaika na mradi unaolenga makundi ya wafugaji mbuzi

  • | KBC Video
    4 views

    Wafugaji wanaotekeleza shughuli za kilimo wanatarajia kunufaika kutokana na mradi jumuishi wa maendeleo katika eneo la Merti unaolenga kusaidia makundi ya wafugaji mbuzi wa maziwa ili kukabiliana na maradhi ya utapiamlo miongoni mwa watoto pamoja na kujipatia riziki kutokana na athari za mabadiliko ya hali ya anga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News