Wafugaji katika kaunti ya Samburu wahimizwa kupanda miche ili kuhifadhi mazingira

  • | Citizen TV
    159 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wamehimizwa kukumbatia upanzi wa miche yenye kustahimili makali ya kiangazi, kama njia Moja wapo ya kufanikisha juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Haya ni Kwa mujibu wa wanamazingira wanaotoa hamasisho Kwa wafugaji kuhusu jinsi ya kulinda na kutunza mazingira.