- 144 viewsDuration: 2:02Wafugaji kutoka maeneo ya Tigania na Igembe kaunti ya Meru wamemkosoa waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwa kusema kuwa mifugo wengi walioibiwa wamerejeshwa kutokana na operesheni ya usalama inayoendelea eneo ya malisho kaunti ya Meru.