Wafugaji kutoka Samburu watakiwa kukumbatia njia mbadala za kujikimu

  • | Citizen TV
    315 views

    Mamlaka ya kitaifa ya kudhibiti ukame nchini NDM imeanzisha mchakato wa kuwahamasisha wafugaji waliopoteza Mifugo wao kupitia ukame kukumbatia kilimo cha unyunyuziaji maji mashamba. kadhalika wameataka kuzingatia mbinu mbadala za kujikimu kimaisha kuliko kutegemea mifugo pekee.