Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Laikipia wanufaika na uhifadhi wa lishe ya mifugo

  • | Citizen TV
    72 views
    Wafugaji wa ng’ombe wa maziwa katika kaunti ya Laikipia wananufaika na uzalishaji zaidi wa maziwa kupitia mradi wa kisasa wa kuhifadhi lishe. Mbinu endelevu na nafuu ya kuchachusha majani kwenye mifuko imewawezesha wakulima wadogo kustawisha ufugaji wa ng’ombe wa maziwa na kupata faida maradufu. Kwenye makala ya kilimo biashara, Denis Otieno anaangazia mbinu hiyo rahisi ya kuhifadhi na kuchachusha lishe ya mifugo ili itumike hata katika kipindi ambapo malisho yamepungu.