Wafugaji Ng'ombe wa maziwa walaumiwa kwa uharibifu

  • | Citizen TV
    154 views

    Wizara ya kilimo imetoa onyo kwa mashirika ya wakulima wa ng'ombe wa maziwa dhidi ya kutumia vibaya vifaa wanavyokabidhiwa mashirika hayo katika kuboresha ufugaji