15 Dec 2025 1:35 pm | Citizen TV 593 views Duration: 3:03 Wafugaji katika kaunti ya samburu wamehimizwa kukumbatia chanjo ya mifugo ya miguu na midomo,katika zoezi la utoaji chanjo linaloendeshwa kwa ushirikiano wa serikali kuu na serikali ya kaunti hiyo.