Wafugaji waraiwa kukomesha ukeketaji Samburu

  • | Citizen TV
    160 views

    Changamoto imetolewa Kwa jamii ya wafugaji kukomesha ukeketaji wa mtoto wa kike,ambao umechangia kuzima Ndoto ya wasichana katika jamii za wafugaji. Badala yake jamii imehimizwa kuwapeleka Wana wao shuleni ili kuwapa msingi wa maisha ya kesho.