Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wa saratani waandamana wakidai ongezeko la bima ya matibabu

  • | Citizen TV
    312 views
    Duration: 3:00
    Wagonjwa wa saratani wameandamana nje ya makao makuu ya bima ya SHA eneo la Upper Hill hapa Nairobi, wakiitaka serikali kuongeza bima ya matibabu ya saratani. Waandamanaji hao wameilaumu serikali kwa kutozingatia changamoto zao, wakisema kiwango cha sasa kinachotolewa na sha hakilingani na gharama halisi ya matibabu ya ugonjwa huo