Wagonjwa wakosa matibabu katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    204 views

    Wagonjwa mbalimbali kaunti ya Nandi wanaendelea kuteseka kutokana na kufungwa kwa hospitali zote za umma baada ya wahudumu wa afya kugoma.