Wagonjwa wazidi kutaabika huku mgomo wa madaktari ukiendelea

  • | KBC Video
    24 views

    Wakati uo huo, mzozo kati ya wahudumu wa afya wanaogoma na serikali ya kitaifa unapoendelea, athari zinazidi kuwakumba wakenya hususan wagonjwa ambao hawawezi kumudu huduma za afya katika vituo vya afya vya kibinafsi. Jinsi mwanahabari wetu Kasichana Masha anavyotuarifu, mpango wa matibabu bila malipo ulioandaliwa na wahisani katika kaunti ya Nakuru, ilitoa fursa mwafaka za huduma zinazohitajika kwa mamia ya wagonjwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive