25 Aug 2025 1:12 pm | Citizen TV 678 views Duration: 3:31 Wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi wanaendelea na mgomo wao, wakishilia kuwa ni lazima serikali iwatimizie matakwa yao la sivyo masomo na shughuli muhimu chuoni humo, zitasambaratishwa kwa muda usiojulikana.