Wahalifu wafichuliwa Vihiga

  • | KBC Video
    44 views

    Wana-kijiji cha Jepkoyai kaunti ndogo ya Hamisi wamechukua hatua ya kijasiri kwa kuwafichua na kuwaaibisha hadharani wezi wa mifugo na wauzaji pombe haramu na bangi. Wakazi hao wanataka polisi kuwajibika kwa kuwakamata washukiwa hao. Hatua hiyo inafuatia msururu wa visa vya uhalifu kikiwemo kile cha kuwashambulia machifu na wazee wa vijiji wanaojaribu kutokomeza biashara ya pombe haramu na ulanguzi wa bangi katika eneo hilo. Achola Simon na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive