Wahalifu wazidi kuwavamia wakazi kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    1,570 views

    Makundi ya wahalifu sasa wamebadili mbinu na kuhamia jimbo la Baringo Kusini kutoka Baringo Kaskazini ili kuendeleza uvamizi zaidi.