Wahamiaji wanaoingia Marekani wakabiliwa na tatizo la makazi

  • | VOA Swahili
    61 views
    Ingawa idadi ya wahamiaji wanaoingia Marekani kila siku imepungua tangu Desemba, lakini miji inaendelea kukabiliwa na changamoto ya kukidhi mahitaji yao. Kwenye jimbo la Kaskazini Magharibi la Washington, kanisa moja dogo limegeuyka na kuwa kituo cha kuwapatia hifadhi kwa mamia ya wahamiaji kutoka Afrika na Latin Amerika. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.