Skip to main content
Skip to main content

Wahamiaji watakiwa kufunga biashara zao Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    10,961 views
    Duration: 2:01
    Wahamiaji wa Kiafrika katika mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria, wameshauriwa "kuchukua tahadhari" wakati wa maandamano ya kupinga uhamiaji haramu, huku kukiwa na hofu ya mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni. Beldeen Waliaula anaelezea kwa kina #bbcswahili #afrkakusini #nigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw