Wahisani na wafanyabiashara wasambaza chakula Mwingi

  • | Citizen TV
    133 views

    Makundi ya wahisani wakiwemo wafanyabiashara kutoka Mwingi kaunti ya Kitui wametoa ufadhili wa chakula kwa wakazi wanaokabiliwa na njaa. Msaada huo uliozinduliwa katika soko la Kyethani unanuiwa kuzifikia familia zaidi ya 1,000 kwenye wadi sita za eneobunge la Mwingi ya Kati