Wahouthi watumia kombora jipya Palestine kuishambulia Israel
Video iliyotolewa na ofisi ya habari ya Ansar Allah ya waasi wa Kihouthi wa Yemen Jumatano, Juni 5, 2024, inaonyesha kombora Palestine likirushwa kutoka katika eneo la Yemen linalodhibitiwa na waasi.
Waasi wa Kihouthi wamezindua aina mpya ya kombora linalofanana na lile ambalo liliwahi kuonyeshwa na Iran na Tehran ikilielezea kuwa lina spidi ya haraka zaidi mara tano kuliko spidi ya sauti.
Waasi hao walifyatua kombora hilo kuelekea upande wa kusini mwa bandari ya Ghuba ya Aqaba ya mji wa Eilat ndani ya Israel siku ya Jumatatu. Shambulizi hilo liliwasha ving’ora vya tahadhari kuashiria shambulizi la anga lakini hapakuwa na uharibifu wowote wala majeruhi. - AP
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
15 May 2025
- Kenya is currently looking for investors in its aging electrical infrastructure.
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
15 May 2025
- The petition, filed as Bench Petition No. E565 of 2024, was scheduled for May 15, 2025.
15 May 2025
- Kenya is currently looking for investors in its aging electrical infrastructure.
15 May 2025
- Nandi County Senator Samson Cherargei has opined that Kenya's opposition's expected launch of a new political faction will not successfully topple President William Ruto from power.
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- Two Kenyan voters are seeking interim conservatory orders to suspend any consideration, vetting, or approval of the seven nominees by the National Assembly.
15 May 2025
- The man argued that the constitutional changes would improve executive stability and enhance institutional coherence.
15 May 2025
- Some of the goons who were cornered during the ensuing melee were assaulted even as party officials were whisked to safety.
15 May 2025
- Lawmakers in the United States Senate are questioning Kenya’s loyalty to America following President William Ruto’s recent trip to China.