Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu katika sekta ya usafiri nchini wakumbatia tuktuk zakutumia umeme Kwale

  • | Citizen TV
    610 views
    Duration: 2:15
    Wadau katika sekta ya usafiri nchini wahimizwa kuendelea kukumbatia matumizi ya tuktuk za umeme na kutema zile za dizelinna oetroli kwa lengo la kupunguza uzalishaji wa hewa kaa na kusaidia taifa kuafikia malengo yake ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.