Mamia ya wahudumu wa afya chini ya mpango wa afya kwa wote, UHC, waliandamana jijini Nairobi kushinikiza utekelezaji mara moja wa agizo la rais la kuwaajiri kwa masharti ya kudumu. Wahudumu hao ambao wanasema wamesubiri kwa miaka sita kwa utekelezaji huo pia wanataka walipwe marupurupu ya baada ya kukamilisha kandarasi zao jinsi walivyoahidiwa na serikali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive