Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya jijini Nairobi waendelea na mgomo

  • | KBC Video
    232 views
    Duration: 2:04
    Wahudumu wa afya katika kaunti ya Nairobi wanaishutumu serikali ya kaunti kwa madai ya kupuuzilia mbali malalamishi yao. Wakiongea jijini Nairobi, wahudumu hao walisema mashauriano baina yao na serikali ya kaunti yametibuka na wanatishia kuendelea na mgomo ulioanza tarehe 16 mwezi uliopita hadi matakwa yao yatakaposhughulikiwa. Huduma za afya katika kaunti ya Nairobi zinazidi kudorora katika vituo vya afya vya umma kufuatia mgomo huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive