Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya kaunti ya Nairobi waandamana

  • | KBC Video
    162 views
    Duration: 3:11
    Huduma zilitatizwa katika eneo la katikati ya jiji la Nairobi leo asubuhi baada ya wahudumu wa afya katika kaunti ya Nairobi kuandamana kutaka walipwe mishahara yao. Wahudumu hao wa matibabu kutoka vyama saba, wanadai serikali ya kaunti hiyo haijawalipa mishahara kwa kipindi cha miezi mitatu, na pia kuwasilisha makato yao ya kisheria kwa wahusika. Juhudi zao za kuzungumza na gavana Johnson Sakaja, hata hivyo ziliambulia patupu licha ya kukita kambi nje ya afisi yake. Nancy Okware anaarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive