Wahudumu wa afya wa kujitolea wapongezwa kwa kusaidia kukabiliana na ugonjwa wa malaria Busia

  • | Citizen TV
    202 views

    Licha ya kaunti ya Busia kuendelea kuongoza kote nchini katika maambukizi ya ugonjwa wa malaria, serikali ya kaunti hiyo imepongeza juhudi za wahudumu wa afya wa kujitolea za kusaidia kukabiliana na ugonjwa huo.