Wakaazi wa Tabriz wakiomboleza kifo cha marehemu Raisi
Kikundi kikubwa cha watu kilikusanyika katika mji wa Iran wa Tabriz Jumatatu (Mei 20) baada ya helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi na watu wengine saba kuanguka (Mei 19) ilipokuwa inavuka eneo la mlima lililokuwa na ukungu mkubwa.
Baadhi ya watu walionekana wakilia, wakati wengine wakibeba mabango yaliyokuwa na picha za Raisin a Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian. Waliokufa katika ajali hiyo ni pamoja na gavana wa Mkoa wa Azerbaijan Mashariki na kiongozi mwandamizi wa kidini kutoka mji wa Tabriz.
Shirika la habari la Reuters lilifanikiwa kuthibitisha eneo hilo kutokana na majengo, kuta, na barabara na alama zake (ambazo zilionekana katika kanda ya video nyimgine iliyokuwa inaonyesha maeneo yaliyofanana) ambayo ililingana na picha za satellite za eneo hilo.
Khamenei alitangaza siku tano za maombolezo ya umma na kuthibitisha kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mohammad Mokhber kuwa ni kiongozi wa mpito wa kitengo hicho cha watendaji wa nchi hiyo.
Iran hivi sasa ina kipindi cha siku 50 kamili kabla ya uchaguzi wa rais lazima kufanyika kumchagua mrithi wa Raisi. - Reuters
#iran #tehran #ebrahimraisi #waziri #mamboyanje #ajali #helikopta #voa #voaswahili #tabriz
4 Jun 2025
- The lapel signifies part of his responsibilities handed to him
4 Jun 2025
- The bodyguard had served Ababu Namwamba for 18 years.
4 Jun 2025
- Wetang'ula also announced a series of consequences following the video's circulation
4 Jun 2025
- Dar es Salaam’s Police Commander, Jumanne Muliro, has flatly dismissed allegations from Kenyan activist Boniface Mwangi and his Ugandan counterpart Agather Atuhaire, who claim they were tortured by Tanzanian police after detention by immigration…
4 Jun 2025
- Web developer and activist Rose Njeri Tunguru found herself at the centre of national attention last week following her arrest on allegations of cybercrime.
4 Jun 2025
- Four men were on Wednesday charged with murder following the death a 24-year-old businessman at Kapseret in Uasin Gishu County.
4 Jun 2025
- The Kenyan government has welcomed plans by Los Angeles-based production company Invention Studios to expand its investments in the country’s creative sector.
4 Jun 2025
- Kenya’s Muslim community has raised Ksh.5.4 million to feed starving Gazans during Eid-ul-Adha through the Gaza-Udhiya Program 2025.
4 Jun 2025
- The National Assembly has approved the nomination of Erastus Edung Ethekon as the new Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairperson and the six nominated members as commissioners.
4 Jun 2025
- The Milimani Magistrate Court has dismissed claims by Mumias East Member of Parliament Peter Salasya that he was subjected to torture while in police custody.
4 Jun 2025
- The Kiambu County government has fired and replaced several healthcare workers at igegania Level Four Hospital following the tragic death of an 11-month-old boy who was denied treatment last week.
4 Jun 2025
- Outlets who breach the ban could face suspension, the media regulator warns.
4 Jun 2025
- A Nairobi court has ordered a hospital in Nairobi to compensate a woman and her spouse with over Ksh.157 million following a botched surgical procedure that resulted in severe physical and emotional harm.