Skip to main content
Skip to main content

WAHUDUMU WA AFYA YA JAMII KILIFI WATAKA KUWEZESHWA KIUCHUMI

  • | KNA Video
    34 views
    Duration: 2:11
    Wahudumu wa afya ya jamii katika Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali na wahisani kuwawezesha kifedha ili waanzishe miradi ya kiuchumi. Wamesema marupurupu wanayopokea hayatoshi kukidhi mahitaji yao, huku baadhi wakidai hawajalipwa kwa miezi mitano.