Wahudumu wa boda boda eneo la Makindu waandamana wakilamikia kuuawa kwa mmoja wao

  • | Citizen TV
    835 views

    Wahudumu wa pikipiki za boda boda mjini Makindu kaunti ya Makueni walishiriki maandamano na kutatiza usafiri katika barabara kuu ya Mombasa kuja Nairobi wakilamikia kuawawa kwa mmoja wao.