Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa boda boda Trans Nzoia wakashifu vurugu za Kitale

  • | Citizen TV
    629 views
    Duration: 1:26
    Wahudumu wa boda boda katika kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza kulaani vurugu zilizoshuhudiwa Jumamosi baada ya mkutano wa uwezeshaji uliofanyika mjini Kitale.