Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa boda boda wajisajili kidijitali

  • | Citizen TV
    564 views
    Duration: 1:32
    Wahudumu Wa boda boa katika mji wa Kajiado wamezindua rasmi mfumo wa Kidijitali wa kuwatambulisha wahudumu wote kwa lengo la kuwaondoa wahuni ambao wanajificha katika sekta ya boda boda na kisha kutekeleza uhalifu.