Wahudumu wa bodaboda huko Emali watoa wito wa kukamatwa kwa wanaohusika na wizi wa pikipiki

  • | KBC Video
    27 views

    Chama cha wahudumu wa bodaboda huko Emali katika kaunti ya Makueni kinatoa wito wa uchunguzi wa haraka pamoja na kukamatwa kwa wahalifu wanaohusika na visa vya wizi wa pikipiki pamoja na mauaji. Kwa Milicent Ndunge, ambaye ni mama wa watoto wawili, kilio chake ni haki ipatikane baada ya kumpoteza mumewe Geoffrey Wambua, mwana-bodaboda mwenye umri wa miaka 25 aliyeuawa wiki iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive