- 547 viewsDuration: 2:02cWahudumu wa bodaboda wa eneo bunge la Kanduyi katika kaunti ya Bungoma wajitokeza na kupuuzilia mbali uvumi uneneao mitandaoni kuwa shilingi milioni 3.6 zilizochangwa wakati wa hafla ya mchango wa wanabodaboda siku ya ijumaa zafujwa.