2 Oct 2025 1:23 pm | Citizen TV 3,208 views Duration: 4:06 Wahudumu katika fuo za bahari eneo la Nyali hadi Serena kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya shirika la wanyama pori kuongeza ada za watalii za kuzuru vivutio vya baharini