Wahuni wavamia mochari ya Marigat Ksunti ya Baringo na kuiba vifaa

  • | Citizen TV
    1,363 views

    Wakaazi wa Baringo Kusini na maeneo jirani watalazimika kusubiri zaidi kupata huduma za makafani baada ya watu wasiojulikana kuharibu chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya kaunti ndogo ya Marigat na kuiba vifaa vya kuhifadhia maiti