- 547 viewsDuration: 1:42Kizaazaa kilizuka nje ya afisi ya mashtaka ya umma ODPP mjini bungoma baada ya waumini wa dini ya kiislamu kuandamana wakimtaka mkuu wa afisi hiyo kuondolewa afisini kwa madai ya ufisadi na kuhujumu haki kwenye uchunguzi wa kesi zinazowasilishwa kwake.