Wakaazi 5,000 kutoka vijiji vya Msambweni na Kaloleni wameathirika na mvua

  • | Citizen TV
    134 views

    Takriban Wakaazi 5000 kutoka vijiji vya Msambweni na Kaloleni eneobunge la Voi kaunti ya TaitaTaveta wameathirika na mvua kubwa inayozidi kunyesha maeneo hayo huku mto voi ukivunja kingo zake.