Wakaazi karibu na ziwa hilo wamepata matumaini ya uvuvi

  • | Citizen TV
    206 views

    Maji katika ziwa la Ol-Bolosat yameanza kurejea. Hii ni kutokana mvua mbayo imeshuhudiwa eneo hilo katika kipindi cha miezi kadhaa