Wakaazi katika kaunti ya Taita Taveta wapewa mafunzo maalum kuhusu nafasi za masomo ya juu

  • | Citizen TV
    410 views

    Kutokana na changamoto ya vijana wengi waliokamilisha kidato cha nne kaunti ya Taita Taveta kukosa ufahamu kuhusu elimu ya vyuo vikuu, Viongozi wa kaunti ya TaitaTaveta Wakiongozwa na mbunge wa mwatate Peter Shake wanaendeleza mkutano unaojumuisha vijana pamoja na wazazi wao kuwaelimisha kuhusu jinsi ya nafasi ya kujiunga na vyuo hivi kujiendeleza kimasomo.