30 Sep 2025 10:33 am | Citizen TV 23 views Kaunti ya Wajir sasa iko katika harakati za dharura za kuhamasisha wakaazi kujisajili kama wapiga kura, viongozi wakitaja ukubwa wa eneo na changamoto za kufikia raia wote wanaostahili kuwa changamoto kuu.