Wakaazi kutoka kaunti ya Tana River wadai ubaguzi wa wanafunzi kwenye shule za Kimishenari

  • | Citizen TV
    226 views

    Viongozi na wazazi kutoka kaunti ya Tana River wanazitaka shule za kimishenari katika eneo hilo kuwaruhusu wanafunzi Waislamu kufunga Hijab.