Wakaazi Trans Nzoia sasa wanamtaka Rais Ruto kuhakikisha anawapiga msasa watakao kuwa mawaziri

  • | Citizen TV
    682 views

    Wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia sasa wanamtaka Rais William Ruto kuhakikisha anawapiga msasa watakaoteuliwa kama mawaziri wapya mbali na kuhakikisha hawajahusika na ufisadi. wakazi hao pia wanamtaka rais awachague watu wachapa kazi ili kukwamua uchumi wa taifa.