Wakaazi wa Archers Post, Samburu, walalamikia hali ya ajira

  • | Citizen TV
    210 views

    Wakazi wa Achers Post Samburu Mashariki wanataka Kamati ya Batuk inayosimamia utekelezaji wa miradi na masuala ya ajira katika jamii eneo hilo kufutiliwa mbali. Kamati hiyo inayohudumu katika Kambi ya kutoa mafunzo ya kijeshi Kwa wanajeshi wa Uingereza inatuhumiwa kuendeleza ajira Kwa mapendeleo.Bonface Barasa anaarifu zaidi.