Wakaazi wa Baringo waandamana kulalamikia ukosefu wa hatimiliki

  • | Citizen TV
    212 views

    Wakaazi wa Eldma Ravine kaunti ya Baringo wanashiriki maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuu na ile ya kaunti ya Baringo kuhakikisha kuwa wamepata hati miliki za aridhi zao, kulingana nao serikali imekuwa ikiwapa ahadi isiyotimia kwa miaka mingi. Familia 427 zimeathiriwa na ukosefu wa hati miliki hizi.