9 Sep 2025 10:44 am | Citizen TV 305 views Duration: 2:16 Swala la kutohusisha wakazi kikamilifu kutoa maoni kwenye zoezi la kuandaliwa kwa bajeti limetajwa kuwa kizingiti katika kuafiki uwajibikaji wa huduma katika serikali za kaunti.