Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Changamwe waliofurushwa makwao kupokea fidia

  • | NTV Video
    1,205 views
    Duration: 2:31
    Gavana wa Mombasa Abdulswammad Nassir amewahakikishia mamia ya wakazi waliofurushwa makwao huko Changamwe kwamba watapokea fidia kutoka kwa serikali, huku akitaka waliosimamia ubomozi huo kukamatwa mara moja. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya