9 Sep 2025 10:14 am | Citizen TV 125 views Duration: 2:19 Wakazi wa eneo bunge la Endebess, Kaunti ya Trans Nzoia, wameikashifu serikali kuu kwa kuanzisha mradi wa ujenzi wa soko la kisasa lenye thamani ya takribani shilingi milioni 50 bila kushirikisha maoni yao.