Wakaazi wa eneo bunge la Laikipia waelezea mahangaiko yao kutokana na hali ya ukame

  • | K24 Video
    26 views

    Wakaazi wa kijiji cha Kang’a eneo bunge la Laikipia magharibi kaunti ya Laikipia wameelezea mahangaiko yao kutokana na hali ya ukame. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba baadhi ya wazazi wanasema wameshindwa kugharamia zoezi la upashaji tohara kwa wana wao wa kiume kutokana na umaskini. Hali hiyo imechochea unyanyapaa miongoni mwa wavulana huku wengine wakilazimika kuacha masomo.