Wakaazi wa Kaptebwa waitaka serikali ya kaunti hiyo kutengeneza daraja kwenye mto wa Ndarugo

  • | Citizen TV
    263 views

    Wakaazi wa mitaa ya Ronda na Kaptebwa katika kaunti ya Nakuru wanaitaka serikali ya kaunti hiyo kutengeneza daraja kwenye mto wa Ndarugo baada ya daraja hilo kuharibiwa na mvua mwezi wa tatu mwaka huu. wakazi hao wanasema kuwa daraja hilo limekuwa hatari kwao na haswa wanafunzi wanapokwenda na kutoka shuleni.