Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kiambaa na Kabete wapokea msaada wa chakula na zawadi mbalimbali

  • | NTV Video
    43 views
    Duration: 1:39
    Maeneo ya bunge ya Kiambaa na Kabete yamepokea msaada wa chakula na zawadi mbalimbali. Familia hizo zilielezea changamoto kubwa za kiuchumi zinazowakumba, zikiwemo gharama ya juu ya maisha na ongezeko la ushuru, hali ambayo imeathiri pakubwa maandalizi ya msimu wa sherehe. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya