Wakaazi wa Kirinyaga washauriwa kujiepusha na maandamano ya fujo

  • | Citizen TV
    76 views

    Wakazi wa Kirinyaga wametakiwa kulinda biashara dhidi ya uporaji na uharibifu wakati wa maandamano, huku benki ya I&M ikifungua rasmi tawi lake la kwanza Wang’uru, Mwea